Msanii wa Bongo Flava Mr. blue AKA mzee wa tabasam ameamua kufuata nyayo za mastaa wengine wa muziki na kuamua kujiingiza kwenye TASNIA YA FILAM.. BLU ameigiza katika movie yake ya kwanza kabisa akiwa chini ya Director Goodluck komba. Filamu hiyo itakwenda kwa jina la PRETTY TEACHER na ndani humo utampata Lucy komba, Mzee Chillo, idriss pamoja na wengine wengi.Mbali na BLU wasanii wengine wa muziki wa kizazi kipya ambao wameshafanya filamu ni pamoja na MAUNDA ZORRO, RAY C, Q- CHIEF na wengineo.
Dullah Daku
Ndo Mimi Mwenyewe
Saturday, January 15, 2011
ebwana mcheki mtuzima chege wa tmk wanaume na noni wa kenya ndani ya kila mmoja ni noma mtu wangu ni bonge la movie
Nonini
Hii ni video ambayo itakuwa ina movie ndani yake kama mnavyoona picture jamaa wakiwa wamepata kipigo na majamaa fulani..kaa tayari kwa kitu hiki nadhani mtakipenda tu inajulikana kwa jina la KILLER MMOJA.
Friday, January 14, 2011
mcheki mwana mahiri cna katika uigizaji
Mwakilishi wa tuzo za Filamucentral,Myovela Mfwaiza akizungumza mbele ya wageni waalikwa kwenye hafla fupi iliyofanyika leo mchana kwenye hotel ya Tamal,Mwenge jijini Dar.Pichani nyuma ni Steven Kanumba.
Mmoja wa Waigizaji mahiri wa filamu hapa nchini,Steven Kanumba akitoa shukurani kwa waandaaji wa tukio hilo mara baada ya kukabisdhiwa tuzo zake.Kanumba ameibuka na tuzo ya Muigizaji bora wa Filamu pamoja na Mtayarishaji bora filamu 2010.
ebwana wasanii watunukiwa tuzo leo dar 14 january mcheki mwana Mwakilishi wa tuzo za Filamucentral,Myovela Mfwaiza akizungumza mbele ya wageni waalikwa kwenye hafla fupi iliyofanyika leo mchana kwenye hotel ya Tamal,Mwenge jijini Dar.Pichani nyuma ni Steven Kanumba.
Subscribe to:
Posts (Atom)