Msanii wa Bongo Flava Mr. blue AKA mzee wa tabasam ameamua kufuata nyayo za mastaa wengine wa muziki na kuamua kujiingiza kwenye TASNIA YA FILAM.. BLU ameigiza katika movie yake ya kwanza kabisa akiwa chini ya Director Goodluck komba. Filamu hiyo itakwenda kwa jina la PRETTY TEACHER na ndani humo utampata Lucy komba, Mzee Chillo, idriss pamoja na wengine wengi.Mbali na BLU wasanii wengine wa muziki wa kizazi kipya ambao wameshafanya filamu ni pamoja na MAUNDA ZORRO, RAY C, Q- CHIEF na wengineo.
No comments:
Post a Comment