Ndo Mimi Mwenyewe

Ndo Mimi Mwenyewe
hapo

Monday, January 3, 2011

Maisha ya Bongo

Life bwana linafurahisha sometime, unaweza kushangaa kumwona profesa anatembea kwa mguu amekosa hata uwezo wa kununua pikipiki, ila kuna vijana kwa uwezo wa vipaji vyao wanafurahia maisha na kuwaacha watu wenye madegree yao kibao bila hata chembe ya kufurahia elimu yao.
The Great Kanumba akishuka kwenye mkoko wa hatari
Kanumba

        Maisha ya Bongo yamebadilika kwa namna fulani tofauti na zamani, kwa mfano sasa vijana wanajikita katika sanaa ya maigizo ambayo imekuwa inawaingizia kibato cha kujikwimu maisha. Kwa mfano msanii kanumba,Ray na wengine wengi, sanaa ya maigizo imewapa mafanikio makubwa..
Ray & Anti Ezekiel

No comments:

Post a Comment